in

DOWNLOAD MP3: Jay Melody – Nakupenda

Jay Melody – Nakupenda

– Nakupenda Mp3 Download

Listen and Download Nakupenda Mp3 Download Audio, lyrics, Dj mwanga, скачать Instrumental and it's available on this music platform.

Have you been looking for the best platform to download  latest Naija music you are in the right place. We have other categories like Latest News, Foreign Music, Lyrics, Music Album and many more.

Listen and Download Jay Melody – Nakupenda Mp3, Dj mwanga, Fakaza 128Kbps TikTok, Audio, torrent, fakaza & zippyshare below:

DOWNLOAD MP3

Jay Melody – Nakupenda Lyrics

VERSE 1

Iwe giza baridi na upepo
Iwe kuna mawingu na minyesho
Your body baby joto (joto)
Unafanya nijihisi special
Unanipa sababu ya uwepo
Kando yako we mtoto

BRIDGE

My desire we nipe dawa mi mahututi
Sijielewi ooh my God
Shida ni nimekolea penzini
Shida ni baby uko moyoni wewe

CHORUS

Nakupenda we
Nakutaka we
Kwako sijiwezi
Ooh my love
Mpenzi we
Roho yangu we
Kwako sijiwezi
Ooh my love

VERSE 2

Akili mwili baby
Hasira zangu navituliza
Ukiongea nasikiliza
Yote sababu ya upendo
Pili pili baby
Vindimu chumvi ya kunyunyiza
Yani uroda kupitiliza
Nimeumaliza mwendo

BRIDGE

Kiukweli napendwa nachanganywa
Na haya ma raha
Shida ni nimekolea penzini
Shida ni baby uko moyoni, wewe

CHORUS

Nakupenda we (anhaaa)
Nakutaka we (oh nana nana)
Kwako sijiwezi
Ooh my love (ooh my baby)
Mpenzi we (oh nonono)
Roho yangu we (aaaah yayaya)
Kwako sijiwezi
Ooh my love

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *