in

DOWNLOAD MP3: Haitham Kim – I Love You

Haitham Kim – I Love You Mp3

– I Love You Mp3 Download

Listen and Download – I Love You Mp3 Download Audio, lyrics, Dj mwanga, скачать Instrumental and it's available on this music platform.

Have you been looking for the best platform to download  latest Naija music you are in the right place. We have other categories like Latest News, Foreign Music, Lyrics, Music Album and many more.

Listen and Download Haitham Kim – I Love You Mp3, Dj mwanga, Fakaza 128Kbps TikTok, Audio, torrent, fakaza & zippyshare below:

DOWNLOAD MP3

Haitham Kim – I Love You Lyrics

Baby nipende mimi
Mwingine ni wa nini?
Najua umeshaniweza
Penzi lisiwe la Siri
Wewe wa kwangu mimi
Kwako nimeshatawaza
Kulala peke yangu mwenyewe mwenzio siwezi
Kitanda cha kwangu mwenyewe usingizi sipati
Katu Katu Bila wewe tupige mkasi
Basi Sogea karibu tupate marashi
Kifuani kwako Huwaga mie Bila Shaka nijilalie
Ua langu linukie
Basi njoo uwe na mie
Pepo yako ya kwangu mie
Hata kidogo tupeane
Mimi nawe hatuwezi farakana
Wenye hila watazidi kuandamana
Najua tu hawana maana
Tumependana bado tukiwa vijana
Sio wa juzi hata tena mwaka jana
Mimi nawe tunaеlewana
I love you Baby, I love you Baby
I lovе you Baby, I love you Baby
I love you Baby, I love you Baby

Baby hatuwezi kuachana
Tuwakomeshe wanaojua gubu
Tushaanza fanana wenye majungu kwetu marufuku
Tupo mpaka kiama tunawezana utamu wa supu
Hata wenye mjadala na penzi letu watawashwa upupu
Ma baibe, My love
Ma baibe,My love
Mimi nawe hatuwezi farakana
Wenye hila watazidi kuandamana
Najua tu hawana maana
Tumependana bado tukiwa vijana
Sio wa juzi hata tena mwaka jana
Mimi nawe tunaelewana

I love you Baby, I love you Baby
I love you Baby, I love you Baby
I love you Baby, I love you Baby

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *